2 Juni
tarehe
Mei - Juni - Jul | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 2 Juni ni siku ya 153 ya mwaka (ya 154 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 212.
MatukioEdit
WaliozaliwaEdit
- 1535 - Papa Leo XI
- 1835 - Mtakatifu Papa Pius X (Giuseppe Sarto)
- 1857 - Edward Elgar, mtunzi wa muziki kutoka Uingereza
- 1857 - Karl Gjellerup, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1917
- 1935 - Carol Shields, mwandishi kutoka Marekani
- 1972 - Wentworth Miller, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
WaliofarikiEdit
SikukuuEdit
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Marselino na Petro, Potino, Blandina na wenzake, Erasmo wa Formia, Papa Eujeni I, Niseforo wa Konstantinopoli, Nikola wa Trani, Dominiko Ninh n.k.
Viungo vya njeEdit
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 2 Juni kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |