Caroline Adoch

Mwanasheria wa Uganda na mtetezi wa haki za binadamu

Caroline Adoch ni mwanasheria wa Uganda na mtetezi wa haki za binadamu na mwanamke wa kwanza kuwa na shahada ya uzamivu ya sheria (LL.D) kutoka Chuo Kikuu cha Makerere ambayo alitunukiwa tarehe 23 Mei 2022. [1][2][3]

Marejeo

hariri
  1. Ssali, Zaam (2022-05-24). "Ms. Caroline Adoch: First Female Doctor of Laws (LL.D) of Makerere University Recipient". Makerere University News (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-08-26.
  2. Bob, Balam (2022-05-24). "Caroline Adoch is the First Female Doctor of Laws recipient from Makerere". Campus Trend UG (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-09-10. Iliwekwa mnamo 2022-09-10.
  3. "Adoch believes political will checks impunity and lawlessness". Monitor (kwa Kiingereza). 2022-06-11. Iliwekwa mnamo 2022-09-10.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Caroline Adoch kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.