Carolyn McCarthy (amezaliwa Januari 5, 1944) ni muuguzi na mwanasiasa wa Marekani ambaye aliwahi kuwa mwakilishi wa wa bunge la New York kuanzia 1997 hadi 2015. Yeye ni mwanachama wa Chama cha Kidemokrasia.

Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi la U.S

Mnamo Januari 8, 2014, alitangaza kwamba hatagombea tena uchaguzi huo wa Novemba,  alistaafu mnamo Januari 2015[1] na nafasi yake ikachukuliwa na Mwanademokrasia mwenzake Kathleen Rice.

Marejeo hariri

  1. "Carolyn McCarthy", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-07-03, iliwekwa mnamo 2022-07-31