Cassandre Beaugrand

Cassandre Beaugrand (alizaliwa Mei 23, 1997 huko Livry-Gargan)[1] ni mwanariadha wa kukimbia, kuogelea na kuendesha baiskeli wa Ufaransa, ni bingwa msomi wa Taifa 2014, bingwa wa taifa wa vijana 2013 na 2014,[2] bingwa wa timu ya vijana Ulaya  2013 na bingwa wa dunia kwa vijana 2014.[3]

Beaugrand kwenye Fainali Kuu ya Mzunguko wa Mashindano ya Klabu ya Ufaransa huko Nice, 2014
Beaugrand kwenye Fainali Kuu ya Mzunguko wa Mashindano ya Klabu ya Ufaransa huko Nice, 2014

Kutoka 2006 hadi 2011, Cassandre Beaugrand aliiwakilisha klabu yake ya nyumbani Livry-Gargan Athlétisme  kuanzia hapo amekuwa  akipewa mafunzo na baba yake Ludovic Beaugrand

MarejeoEdit

  1. les Sélections Internationales. bases.athle.fr. Iliwekwa mnamo 2021-11-27.
  2. Coste, Olivier; Dupont, Anne Charlotte; Lieux, Romain (2021), "Le triathlon, un outil pour la santé", Médecine du Triathlon (Elsevier): 117–126, retrieved 2021-11-27 
  3. Sietske Witvoet (2014-03-31). Polyethylene wear study on the triathlon total knee prosthesis. http://isrctn.org/>. Iliwekwa mnamo 2021-11-27.