Castellum Dimmidi ilikuwa kasri ya Kirumi kusini mwa Mauretania Caesariensis.[1]

Africae romanae Urbes

Historia

hariri

Kama jina linavyosema Castellum (Kasri), makazi yalikuwa ni ngome karibu na Africae, kusini mwa mpaka wa mkoa wa Numidia.Ni kijiji kilichokuwa kimeendelea na wenyeji wake ni Waroma wa garisoni kutoka mwaka wa 198 hadi 240 kabla ya Kristo. Ulikuwa takribani kilomita 290 kusini mwa Algiers, kwenye mpaka wa jangwa la Sahara.Katika kipindi cha karne ya pili kipindi cha Waroma kijiji hicho kiliundwa chini ya uongozi wa Kaisari Septimius Severus.Bado haijafahamika kama sehemu ya pili ya jina, Dimmidi lilikuwa ni jina lilitolitolewa na wazawa likatafsiriwa Kwenda Kilatini au ni jina jipya lililotolewa na Waroma.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Castellum Dimmidi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.