Castellum Tatroportus
Castellum Tatroportus (yaani kasri ya Tatroporto) ilikuwa ni dayosisi ya zamani ya Kanisa Katoliki lilodumu katika kipindi cha Wavandali na Dola la Roma hadi zama za mwisho. Lilikuwa katika mkoa wa Mauretania Caesariensis, Afrika, hata hivyo eneo husika bado halijatambulika.[1][2][3][4] Kwa sasa ni jimbo jina (kwa Kilatini: Diocesis Castellotatro-Portensis).
Marejeo
hariri- ↑ Titular Episcopal See of Castellum Tatroportus, at GCatholic.org.
- ↑ Castello di Tatroporto at Catholic-Hierarchy.org.
- ↑ Pius Bonifacius Gams, Series episcoporum Ecclesiae Catholicae, (Leipzig, 1931), p. 465.
- ↑ Stefano Antonio Morcelli, Africa christiana, Volume I, (Brescia, 1816), p. 129.
Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Castellum Tatroportus kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |