Castor Raphael Ligallama

Castor Raphael Ligallama (amezaliwa tar. 1 Machi 1949) ni mbunge wa jimbo la Kilombero katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. Mengi kuhusu Castor Raphael Ligallama (19 Julai 2006). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-19. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.

Viungo vya nnje hariri