Catherine Omanyo

Mgombea wa kisiasa Mkenya, mwanzilishi wa shule

Catherine Nakhabi Omanyo (7 Julai 1978) ni mwanasiasa wa Kenya, mwanaharakati wa elimu, na mwakilishi wa wanawake wa kaunti ya Busia katika bunge la Kitaifa la Kenya.[1][2]

Omanyo akizungumza na wapiga kura katika kaunti ya Busia, 2022

Marejeo

hariri
  1. "300 needy students benefit from bursary". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-09-29. Iliwekwa mnamo 2024-06-29.
  2. "Inspiration". International School for Champions (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-12-18. Iliwekwa mnamo 18 Desemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)