Cecil David Mwambe

Cecil David Mwambe ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM alipohamia kutoka CHADEMA.

Alichaguliwa kuwa mbunge wa Ndanda kwa miaka 20152020. Baada ya kuhamia CCM alichaguliwa tena kuongoza jimbo hilo kwa mwaka 2020-2025. [1]

Marejeo

hariri
  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017