Cedrick Kalombo Lukanda

Cedrick Lukanda Kalombo (alizaliwa tarehe 2 Juni 1983) ni mchezaji wa mpira wa kikapu kutoka Afrika kusini, anayecheza katika chuo kikuu cha Clayton nchini Marekani na timu ya taifa nchini kwao Afrika kusini. Alicheza katika timu ya Afrika kusini kwenye mashindano ya FIBA Afrika mwaka 2009.[1]

Marejeo

hariri
  1. "Cedrick Kalombo Lukanda", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-04-27, iliwekwa mnamo 2022-09-02