CfC Stanbic Holdings

Stanbic Holdings Plc ni kati ya benki kubwa za Kenya.[1] Makao makuu ya Stanbic Holdings yako jijini Nairobi.

Stanbic Holdings lina matawi katika miji yote kuu nchini Kenya. Standard Bank la Afrika Kusini inashika asilimia sitini za hisa.[2]

Ona Pia hariri

Marejeo hariri

  1. CFC, . (28 February 2014). "CfC Stanbic Holdings Full Year Results 2013" (PDF). CfC Stanbic Bank Holdings (CFC). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-08-01. Iliwekwa mnamo 23 November 2014.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. CFC, . (2012). "CfC Stanbic Holdings Limited Annual Report 2011, Page 8" (PDF). CfC Stanbic Holdings Limited. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-09-23. Iliwekwa mnamo 23 November 2014.  Check date values in: |accessdate= (help)

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu CfC Stanbic Holdings kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.