Chama cha Kiswahili cha Taifa
Chama cha Kiswahili cha Taifa (CHAKITA) ni taasisi ya Kenya iliyoanzishwa mwaka 1998 na inayohusika na ukuzaji wa lugha ya Kiswahili nchini. Mwenyekiti mwanzilishi ni Profesa Kimani Njogu, mhitimu wa Isimu katika Chuo Kikuu cha Yale.
Shughuli kuu za CHAKITA ni kuelekeza utafiti katika lugha ya kiswahili na fasihi kwa uratibu na taasisi za kitaaluma ili kuendeleza kiswahili kitumike kama njia ya maendeleo ya taifa.
Rejea pia
hariri- Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA), Tanzania