Chama cha Ukombozi wa Umma

Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) ni chama cha kisiasa nchini Tanzania. Kilianzishwa mnamo mwaka 2013[1]. Mwaka uleule Hashim Spunda Rungwe alijiunga na chama hicho akawa kiongozi wake aliyegombea urais wa Tanzania mwaka 2015 na 2020.

Rungwe aliwahi kuwa mwanachama wa NCCR-Mageuzi akiwa mgombea wa chama hicho katika uchaguzi wa 2010. [2].

Marejeo hariri

  1. Briefly about Chaumma, gazeti la Citizen TZ ya tar. 24.10.2015
  2. NCCR-Mageuzi ex-presidential candidate defects Archived 10 Agosti 2014 at the Wayback Machine., gazeti la Daily News TZ tarehe 6 Septemba 2013