NCCR-Mageuzi
NCCR-Mageuzi ni chama cha upinzani nchini Tanzania ambacho kilisajiliwa rasmi tarehe 29 Julai 1992 kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa ya mwaka 1992.
National Convention for Construction and Reform - NCCR Mageuzi | |
---|---|
Mwanzishaji | Mabere Marando |
Ilianzishwa | 1992 |
tovuti | |
nccrmageuzi.or.tz |
Chama hicho kilianzishwa kama matokeo ya juhudi za wananchi wa Tanzania kujikomboa kutokana na ubeberu ambao umejikita katika nchi hiyo tangu mwaka 1884.
Uongozi
hariri- Mwenyekiti:
- Makamu wa Mwenyekiti Zanzibar: Haji A. Khamis
- Katibu Mkuu: Juju M. Ndada
- Naibu Katibu Mkuu Bara: Elizabeth M. Mhagama
- Naibu Katubu Mkuu Zanzibar: Mussa K. Mussa
- Mweka Hazina wa Taifa: Mike A. Karava
Viungo vya nje
hariri- Tovuti ya NCCR-Mageuzi Archived 29 Mei 2017 at the Wayback Machine.