Charles-Albert Gobat
Charles-Albert Gobat (21 Mei 1834 – 16 Machi 1914) alikuwa mwanasheria na mwanasiasa kutoka nchi ya Uswisi. Pia alikuwa mkurugenzi wa Ofisi ya Amani ya Kimataifa. Mwaka wa 1902, pamoja na Elie Ducommun alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Charles-Albert Gobat kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |