Charles Asati
Charles Asati (alizaliwa 3 Machi 1946) ni mwanariadha wa zamani nchini Kenya, mshindi wa medali ya dhahabu katika mbio za mita 4 × 400 katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto ya mwaka 1972.[1]
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Charles Asati kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |