3 Machi
tarehe
Feb - Machi - Apr | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 3 Machi ni siku ya 62 ya mwaka (ya 63 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 303.
Matukio
hariri- 1431 - Uchaguzi wa Papa Eugenio IV
- 1845 - Florida imekuwa jimbo la 27 la Marekani
- 1924 - Uongozi wa Khalifa umepinduliwa na Kemal Atatürk
Waliozaliwa
hariri- 1847 - Alexander Graham Bell, mgunduzi wa mawasiliano ya simu
- 1918 - Arthur Kornberg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1959
- 1926 - James Merrill, mshairi kutoka Marekani
- 1955 - Marijani Rajab, mwanamuziki kutoka Tanzania
- 1957 - William Pascal Kikoti, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
Waliofariki
hariri- 561 - Papa Pelagio I
- 1605 - Papa Klementi VIII
- 1955 - Mtakatifu Katharine Drexel, mtawa wa kike kutoka Marekani
- 1999 - Gerhard Herzberg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1971
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Marinus na Asteri, Emeteri na Seledoni, Kleoniki na Eutropi, Tisyano wa Brescia, Gwenole, Artelaide, Anselmo wa Nonantola, Kunegunda wa Luxemburg, Teresa Eustoki Verzeri, Katharine Drexel n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 3 Machi kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |