Charles Daniel Balvo

Charles Daniel Balvo (alizaliwa 29 Juni 1951) ni Askofu mkuu wa Kanisa Katoliki kutoka Marekani ambaye amekuwa akihudumu katika huduma za kidiplomasia za Vatikani tangu 1987.

Kwa sasa anahudumu kama balozi wa Papa (apostolic nuncio) nchini Australia. Amehudumu kama balozi wa kitume na askofu mkuu tangu 2005.[1]

Marejeo

hariri
  1. (in it) Rinunce e Nomine, 01.04.2005 (Press release). Holy See Press Office. April 1, 2005. http://press.vatican.va/content/salastampa/it/bollettino/pubblico/2005/04/01/0176/00375.html. Retrieved September 24, 2018.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.