Charles Dawes
(Elekezwa kutoka Charles G. Dawes)
Charles Gates Dawes (27 Agosti 1865 – 23 Aprili 1951) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Marekani. Kuanzia 1925 hadi 1929 alikuwa Kaimu Rais chini ya Rais Calvin Coolidge. Mwaka wa 1925, pamoja na Austen Chamberlain alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel kwa Amani.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Charles Dawes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |