Calvin Coolidge
Calvin Coolidge (4 Julai 1872 – 5 Januari 1933) alikuwa Rais wa 30 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1923 hadi 1929. Alianza kama Kaimu Rais wa Warren Harding aliyemfuata baada ya kifo chake. Kaimu Rais wake Coolidge kuanzia mwaka wa 1925 alikuwa Charles Dawes.
Calvin Coolidge | |
Makamu wa Rais | - (1923–1925) Charles G. Dawes (1925–1929) |
---|---|
mtangulizi | Warren G. Harding |
aliyemfuata | Herbert Hoover |
tarehe ya kuzaliwa | Plymouth Notch, Vermont, Marekani | Julai 4, 1872
tarehe ya kufa | 5 Januari 1933 (umri 60) Northampton, Massachusetts, Marekani |
mahali pa kuzikiwa | Plymouth Notch Cemetery |
ndoa | Grace Goodhue (m. 1905) |
watoto | 2 |
mhitimu wa | Amherst College |
Fani yake | Wakili |
signature |
Tazamia pia
hariri}}
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Calvin Coolidge kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |