Open main menu

Charles Ndiliana Ruwa Keenja

Charles Ndiliana Ruwa Keenja (amezaliwa tar. 24 Desemba 1940) ni mbunge wa jimbo la Ubungo katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

  1. Mengi kuhusu Charles Ndiliana Ruwa Keenja (13 Julai 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.