Charles Thomson Rees Wilson
(Elekezwa kutoka Charles Wilson)
Charles Thomson Rees Wilson (14 Februari 1869 – 15 Novemba 1959) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uskoti. Hasa alichunguza mionzi ya aina mbalimbali. Mwaka wa 1927, pamoja na Arthur Compton alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Charles Thomson Rees Wilson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |