Arthur Holly Compton
(Elekezwa kutoka Arthur Compton)
Arthur Holly Compton (10 Septemba 1892 – 15 Machi 1962) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza mionzi ya eksirei na nadharia ya kwanta. Mwaka wa 1927, pamoja na Charles Wilson alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Arthur Holly Compton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |