Charles Wright (mshairi)

Charles Wright (amezaliwa 25 Agosti 1935) ni mshairi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1998 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Charles Wright

Viungo vya NjeEdit

  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Charles Wright (mshairi) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.