Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi
Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi ni aina moja ya Tuzo za Pulitzer ambazo hutolewa kila mwaka nchini Marekani. Ilitolewa kuanzia 1922 lakini kulikuwa na tuzo maalumu kabla ya hapo.
Tuzo maalumu za 1918 na 1919
haririKupitia kwa hiba kutoka “Shirika la Ushairi” (Kiing. The Poetry Society), wasia wa Pulitzer uliweza kutoa tuzo maalumu kwa ushairi miaka ya 1918 na 1919. Waliotuzwa ni wafuatao:
- 1918, Sara Teasdale
- 1919, Carl Sandburg
- 1919, Margaret Widdemer
Washindi
haririKatika miaka 92 hadi 2013, Tuzo ya Ushairi ilitolewa mara 92; kulikuwa na washindi wawili mwaka wa 2008, na hakuwa na tuzo 1946. Kulikuwa na mashairi mbalimbali waliotuzwa zaidi ya mara moja tu:
- Edwin Arlington Robinson, 1922, 1925, 1928
- Robert Frost, 1924, 1931, 1937, 1943
- Stephen Vincent Benét, 1929, 1944
- Archibald MacLeish, 1933, 1953
- Robert Lowell, 1947, 1974
- Richard Wilbur, 1957, 1989
- Robert Penn Warren, 1958, 1979
- William S. Merwin, 1971, 2009
Miaka ya 1920
hariri- 1922: Collected Poems kuandikwa na Edwin Arlington Robinson
- 1923: The Ballad of the Harp-Weaver: A Few Figs from Thistles: Eight Sonnets in American Poetry, 1922. A Miscellany kuandikwa na Edna St. Vincent Millay
- 1924: New Hampshire: A Poem with Notes and Grace Notes kuandikwa na Robert Frost
- 1925: The Man Who Died Twice kuandikwa na Edwin Arlington Robinson
- 1926: What's O'Clock kuandikwa na Amy Lowell
- 1927: Fiddler's Farewell kuandikwa na Leonora Speyer
- 1928: Tristram kuandikwa na Edwin Arlington Robinson
- 1929: John Brown's Body kuandikwa na Stephen Vincent Benét
Miaka ya 1930
hariri- 1930: Selected Poems kuandikwa na Conrad Aiken
- 1931: Collected Poems kuandikwa na Robert Frost
- 1932: The Flowering Stone kuandikwa na George Dillon
- 1933: Conquistador kuandikwa na Archibald MacLeish
- 1934: Collected Verse kuandikwa na Robert Hillyer
- 1935: Bright Ambush kuandikwa na Audrey Wurdemann
- 1936: Strange Holiness kuandikwa na Robert P. T. Coffin
- 1937: A Further Range kuandikwa na Robert Frost
- 1938: Cold Morning Sky kuandikwa na Marya Zaturenska
- 1939: Selected Poems kuandikwa na John Gould Fletcher
Miaka ya 1940
hariri- 1940: Collected Poems kuandikwa na Mark Van Doren
- 1941: Sunderland Capture kuandikwa na Leonard Bacon
- 1942: The Dust Which Is God kuandikwa na William Rose Benét
- 1943: A Witness Tree kuandikwa na Robert Frost
- 1944: Western Star kuandikwa na Stephen Vincent Benét
- 1945: V-Letter and Other Poems kuandikwa na Karl Shapiro
- 1946: hakuna tuzo
- 1947: Lord Weary's Castle kuandikwa na Robert Lowell
- 1948: The Age of Anxiety kuandikwa na W. H. Auden
- 1949: Terror and Decorum kuandikwa na Peter Viereck
Miaka ya 1950
hariri- 1950: Annie Allen kuandikwa na Gwendolyn Brooks
- 1951: Complete Poems kuandikwa na Carl Sandburg
- 1952: Collected Poems kuandikwa na Marianne Moore
- 1953: Collected Poems 1917–1952 kuandikwa na Archibald MacLeish
- 1954: The Waking kuandikwa na Theodore Roethke
- 1955: Collected Poems kuandikwa na Wallace Stevens
- 1956: Poems: North & South - A Cold Spring kuandikwa na Elizabeth Bishop
- 1957: Things of This World kuandikwa na Richard Wilbur
- 1958: Promises: Poems 1954-1956 kuandikwa na Robert Penn Warren
- 1959: Selected Poems 1928-1958 kuandikwa na Stanley Kunitz
Miaka ya 1960
hariri- 1960: Heart's Needle kuandikwa na W. D. Snodgrass
- 1961: Times Three: Selected Verse From Three Decades kuandikwa na Phyllis McGinley
- 1962: Poems kuandikwa na Alan Dugan
- 1963: Pictures from Brueghel kuandikwa na William Carlos Williams
- 1964: At The End Of The Open Road kuandikwa na Louis Simpson
- 1965: 77 Dream Songs kuandikwa na John Berryman
- 1966: Selected Poems kuandikwa na Richard Eberhart
- 1967: Live or Die kuandikwa na Anne Sexton
- 1968: The Hard Hours kuandikwa na Anthony Hecht
- 1969: Of Being Numerous kuandikwa na George Oppen
Miaka ya 1970
hariri- 1970: Untitled Subjects kuandikwa na Richard Howard
- 1971: The Carrier of Ladders kuandikwa na William S. Merwin
- 1972: Collected Poems kuandikwa na James Wright
- 1973: Up Country kuandikwa na Maxine Kumin
- 1974: The Dolphin kuandikwa na Robert Lowell
- 1975: Turtle Island kuandikwa na Gary Snyder
- 1976: Self-portrait in a Convex Mirror kuandikwa na John Ashbery
- 1977: Divine Comedies kuandikwa na James Merrill
- 1978: Collected Poems kuandikwa na Howard Nemerov
- 1979: Now and Then kuandikwa na Robert Penn Warren
Miaka ya 1980
hariri- 1980: Selected Poems kuandikwa na Donald Justice
- 1981: The Morning of the Poem kuandikwa na James Schuyler
- 1982: The Collected Poems kuandikwa na Sylvia Plath
- 1983: Selected Poems kuandikwa na Galway Kinnell
- 1984: American Primitive kuandikwa na Mary Oliver
- 1985: Yin kuandikwa na Carolyn Kizer
- 1986: The Flying Change kuandikwa na Henry S. Taylor
- 1987: Thomas and Beulah kuandikwa na Rita Dove
- 1988: Partial Accounts: New and Selected Poems kuandikwa na William Meredith
- 1989: New and Collected Poems kuandikwa na Richard Wilbur
Miaka ya 1990
hariri- 1990: The World Doesn't End kuandikwa na Charles Simic
- 1991: Near Changes kuandikwa na Mona Van Duyn
- 1992: Selected Poems kuandikwa na James Tate
- 1993: The Wild Iris kuandikwa na Louise Glück
- 1994: Neon Vernacular: New and Selected Poems kuandikwa na Yusef Komunyakaa
- 1995: The Simple Truth kuandikwa na Philip Levine
- 1996: The Dream of the Unified Field kuandikwa na Jorie Graham
- 1997: Alive Together: New and Selected Poems kuandikwa na Lisel Mueller
- 1998: Black Zodiac kuandikwa na Charles Wright
- 1999: Blizzard of One kuandikwa na Mark Strand
Miaka ya 2000
hariri- 2000: Repair kuandikwa na C. K. Williams
- 2001: Different Hours kuandikwa na Stephen Dunn
- 2002: Practical Gods kuandikwa na Carl Dennis
- 2003: Moy Sand and Gravel kuandikwa na Paul Muldoon
- 2004: Walking to Martha's Vineyard kuandikwa na Franz Wright
- 2005: Delights & Shadows kuandikwa na Ted Kooser
- 2006: Late Wife kuandikwa na Claudia Emerson
- 2007: Native Guard kuandikwa na Natasha Trethewey
- 2008: Time and Materials kuandikwa na Robert Hass
- 2008: Failure kuandikwa na Philip Schultz
- 2009: The Shadow of Sirius kuandikwa na W. S. Merwin
Miaka ya 2010
hariri- 2010: Versed kuandikwa na Rae Armantrout
- 2011: The Best of It: New and Selected Poems kuandikwa na Kay Ryan
- 2012: Life on Mars kuandikwa na Tracy K. Smith
- 2013: Stag's Leap kuandikwa na Sharon Olds
- 2014: 3 Sections kuandikwa na Vijay Seshadri
- 2015: Digest kuandikwa na Gregory Pardlo
- 2016: Ozone Journal kuandikwa na Peter Balakian