Charlottetown, Prince Edward Island

Charlottetown ndiyo mji mkuu wa mkoa wa Prince Edward Island. Ni mji mdogo sana. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao 32,174wanaoishi katika mji huu. Eneo lake ni 44.33 km².

Mji wa Charlottetown, Prince Edward Island
Charlottetown
Nchi Kanada
Mkoa Prince Edward Island
Idadi ya wakazi
 - 32,174
Tovuti: / www.city.charlottetown.pe.ca

Kuna uwanja wa ndege mdogo.

Charlottetown ni nyumbani kwa Chuo Kikuu cha Prince Edward Island.

Mji ulianzishwa na Wafaransa mwaka 1764.Flag Canadian template.gif Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Charlottetown, Prince Edward Island kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.