Chelchel
Chelchel ni kijiji kipatikanacho katika Bonde la Ufa], Kaunti ya Narok, nchini Kenya.
Kina msitu na maji yanayoporomoka juu mpaka chini. Iko karibu na Masai Mara, katika wodi ya Angata Barrakoi.
Wanyama kama tumbili, nyani, nyoka, ndege wa aina nyingi, ndovu hupatikana kwani hifadhi ya Taifa ya Mara iko jirani.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Chelchel kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |