Chiko Ushindi
Chiko Ushindi (alizaliwa 7 Januari 1996[1]) ni mchezaji wa soka kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Kazi
hariri- Young Africans S.C. (Yanga):
Chiko Ushindi alikuwa mmoja wa wachezaji wa timu ya Young Africans S.C. (Yanga) nchini Tanzania. Yanga ni timu maarufu inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara na imekuwa mabingwa mara 29 nchini. Pia, Yanga imeshinda Kombe la Mabingwa Afrika Mashariki Kagame mara 5.
Nafasi yake katika timu: Kiungo wa kati MF[2].
- Nejmeh SC:
Baada ya kuondoka Yanga, Chiko Ushindi alijiunga na Nejmeh SC. Nejmeh SC ni klabu ya soka ya Lebanon[3].
Chiko Ushindi amekuwa akichangia katika timu hizo na kuonyesha uwezo wake uwanjani.
Tanbihi
hariri- ↑ Chico Ushindi - Player profile |Transfermarkt.https://www.transfermarkt.com/chico-ushindi/profil/spieler/262823.
- ↑ (2) Chico Ushindi - Player profile | Transfermarkt. https://www.transfermarkt.com/chico-ushindi/profil/spieler/262823.
- ↑ (3) DC ARUSHA APAGAWA NA CHICO USHINDI MCHEZAJI MPYA/ "MIMI NI ... - YouTube. https://www.youtube.com/watch?v=sJbnNYJCOIE.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chiko Ushindi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |