Chillingham, Northumberland

Fahali ya Chillingham

Chillingham ni kijiji cha kaunti ya Northumberland kwenye kaskazini ya Uingereza. Idadi ya wakazi ni chini ya watu 100.

Chillingham ina umaarufu fulani kutokana na ngome ya Chillingham Castle na kundi la ng'ombe mwitu ambao hawafugwi wanaoishi hapa tangu miaka 300 au zaidi katika sehemu ya msitu iliyoviringishwa na ukuta.