Chilpancingo, Guerrero

Chilpancingo (jina rasmi:Chilpancingo de los Bravo; pia: Ciudad Bravo) udiyo mji mkuu na mji mkubwa wa pili wa Guerrero ukiwa na wakazi 166,796.

Mji wa Chilpancingo
Chilpancingo
Nchi Mexiko
Jimbo Guerrero
Idadi ya wakazi
 - 166,796
Tovuti: Chilpancingo, Guerrero

Mwaka 2009 mji uliathiriwa na tetemeko la ardhi.

Mexico Flag Map.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Chilpancingo, Guerrero kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.