Chokei (takriban 134327 Agosti 1394) alikuwa mfalme mkuu wa 98 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Yutanari, na wazazi wake walikuwa Go-Murakami na Fujiwara Masako. Mwaka wa 1383 alimfuata babake Go-Murakami, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu 1383. Aliyemfuata ni Go-Kameyama.

Angalia pia

hariri
  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chokei wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.