Orodha ya Wafalme Wakuu wa Japani

Orodha ya Wafalme Wakuu (Tenno) wa Japani inataja wafalme wanaohesabiwa rasmi. Kwa wafalme 28 wa kwanza hatuna miaka ya uhakika, kwa hiyo hawajaorodheshwa humo.