Christa Eka
Muigizaji na muongozaji wa filamu kutokea nchini Kameruni
'Maandishi ya kooze'Christa Eka Assam ni muongozaji na muigizaji wa filamu wa nchini Kameruni.[1] kazi zake za filamu nchini Kameruni zimekuwa ni zenye kusifiwa na wengi.[2]
christa Eka Assam | |
Nchi | Kameruni |
---|---|
Kazi yake | Muongozaji na mwigizaji wa filamu |
Wasifu
haririEka alijifunza kuigiza mwenyewe na kuanza kuigiza mwaka 2008.
Filamu
hariri- Ninah's Dowry (2012, as Clarise)
- Beleh (2013)
- Alma (2015)
Marejeo
hariri- ↑ "Christa Eka Assam". aftt. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-10-11. Iliwekwa mnamo 2021-10-30.
{{cite web}}
: Unknown parameter|dead-url=
ignored (|url-status=
suggested) (help) - ↑ MacViban, Dzekashu. "Eka Christa and the New School of Cameroonian Cinema". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-10-11. Iliwekwa mnamo 2021-10-30.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Christa Eka kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |