Christian Luyindama

Mchezaji mpira wa Kongo

Christian Luyindama Nekadio (alizaliwa 8 Januari 1994), ni mchezaji wa soka wa DR Congo, ambaye anacheza kama beki katika klabu ya Uturuki iitwayo Galatasaray.

Christian Luyindama
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaJamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Hariri
Jina katika lugha mamaChristian Luyindama Hariri
Jina halisiChristian Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa8 Januari 1994 Hariri
Mahali alipozaliwaKinshasa Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timuBeki Hariri
Muda wa kazi2015 Hariri
Mwanachama wa timu ya michezoStandard Liège, DR Congo national football team Hariri
MchezoMpira wa miguu Hariri
Ameshiriki2019 Africa Cup of Nations Hariri

Luyindama ni mchezaji mchanganyiko, ambaye pia anaweza kucheza kama kiungo mkabaji au mshambuliaji.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Christian Luyindama kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.