Christopher Nkunku
Christopher Alan Nkunku (alizaliwa Novemba 14, 1997) ni mchezaji wa kulipwa wa mpira wa miguu anayeicheza timu ya Chelsea na timu ya taifa ya Ufaransa.
Nkunku ni mshambuliaji lakini pia anaweza kucheza kwa umahiri mkubwa nafasi ya kiungo mshambuliaji au winga wa kushoto au kulia.
Kabla ya kuitumikia Chelsea, Nkunku aliwahi kupitia PSG na RB Leipzig.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Christopher Nkunku kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |