Christopher Olonyokie Ole Sendeka

Christopher Olonyokie Ole Sendeka (amezaliwa 1 Januari, 1964) ni mbunge wa jimbo la Simanjiro katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. Mengi kuhusu Christopher Olonyokie Ole Sendeka (17 Julai 2006). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-26. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.