Christopher Walken
Ronald Walken (amezaliwa tar. 31 Machi 1943) akiwa kama mwigizaji, hutumia jina la Christopher Walken, ni mwigizaji wa filamu na televisheni kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa kucheza kama muhusika mwasi au kichaa. Kuna ki[indi hutumia picha ile kwa ajili ya vionjo vya kuchekesha. Huyu, alizaliwa mjini Queens, New York na baba Mjerumani na mama Mscotland.
Viungo vya Nje
hariri- Christopher Walken @ Wikiquote
- Christopher Walken at the Internet Movie Database
- Christopher Walken biography Ilihifadhiwa 3 Machi 2009 kwenye Wayback Machine.
- The online Christopher Walken fan club Ilihifadhiwa 26 Aprili 2009 kwenye Wayback Machine.
- Walken Works – A Christopher Walken film review site Ilihifadhiwa 28 Desemba 2021 kwenye Wayback Machine.
- Christopher Walken Fan Forum Includes news updates on Walken's activities
- Hoax "Walken 2008" presidential campaign website
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Christopher Walken kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |