1943
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1910 |
Miaka ya 1920 |
Miaka ya 1930 |
Miaka ya 1940
| Miaka ya 1950
| Miaka ya 1960
| Miaka ya 1970
| ►
◄◄ |
◄ |
1939 |
1940 |
1941 |
1942 |
1943
| 1944
| 1945
| 1946
| 1947
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1943 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
haririWaliozaliwa
haririKalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
- 14 Januari - Ralph Steinman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2011
- 9 Februari - Squire Fridell, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 19 Februari - Timothy Hunt, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2001
- 25 Februari - George Harrison, mwanamuziki Mwingereza
- 2 Machi - Jeremiah Solomon Sumari, mwanasiasa kutoka Tanzania
- 19 Machi - Mario Molina, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1995
- 15 Aprili - Robert Lefkowitz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2012
- 22 Aprili - Louise Glück, mshairi kutoka Marekani
- 6 Juni - Richard Smalley, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1996
- 28 Juni - Klaus von Klitzing, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1985
- 3 Agosti - Steven Millhauser, mwandishi kutoka Marekani
- 15 Agosti - Barbara Bouchet, mwigizaji filamu wa Italia
- 29 Agosti - Arthur B. McDonald, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 2015
- 29 Agosti - Mohamed Amin, mpiga picha kutoka Kenya
- 6 Septemba - Richard Roberts, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1993
- 16 Septemba - James Alan McPherson, mwandishi kutoka Marekani
- 20 Septemba - Sani Abacha, Rais wa 10 wa Nigeria (1993-1998)
- 24 Septemba - Randall Duk Kim, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 30 Septemba - Johann Deisenhofer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1988
- 24 Oktoba - Joseph James Mungai, mwanasiasa wa Tanzania
- 27 Oktoba - George Cain, mwandishi wa Marekani
- 5 Novemba - Sam Shepard, mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1979
- 26 Novemba - Marilynne Robinson, mwandishi kutoka Marekani
- 8 Desemba - Jim Morrison, mwanamuziki wa Marekani
- 8 Desemba - James Tate, mshairi wa Marekani
- 11 Desemba - John Kerry, mwanasiasa kutoka Marekani
- 27 Desemba - Joan Manuel Serrat, mwimbaji kutoka Hispania
bila tarehe
- Maktoum bin Rashid Al Maktoum, Waziri Mkuu wa Umoja wa Falme za Kiarabu na mtawala wa Dubai
Waliofariki
hariri- 13 Machi - Stephen Vincent Benét, mwandishi kutoka Marekani
- 28 Machi - Sergei Rachmaninoff, mtunzi wa muziki kutoka Urusi
- 26 Juni - Karl Landsteiner, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1930
- 21 Agosti - Henrik Pontoppidan, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1917
- 9 Septemba - Charles McLean Andrews, mwanahistoria kutoka Marekani
- 9 Oktoba - Pieter Zeeman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1902
Wikimedia Commons ina media kuhusu: