Christos Kagiouzis
Christos Kagiouzis (kwa Kigiriki Χρήστος Καγκιούζης; amezaliwa 23 Februari 1981) ni mwanasoka wa Kijerumani mwenye asili ya Ugiriki. Ni kiungo mkabaji anayechezea klabu ya Veria F.C. katika Ligi ya Soka (Ugiriki).
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Christos Kagiouzis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |