23 Februari
tarehe
Jan - Februari - Mac | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | ||||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 23 Februari ni siku ya hamsini na nne ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 311 (312 katika miaka mirefu).
MatukioEdit
- 303 - Kaisari Dioklesian anaanza dhuluma kali ya miaka minane dhidi ya Wakristo
WaliozaliwaEdit
- 1417 - Papa Paulo II
- 1685 - Georg Friedrich Händel, mtunzi wa muziki kutoka Ujerumani
- 1877 - Frederic L. Paxson, mwanahistoria kutoka Marekani
- 1924 - Allan Cormack, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1979
- 1942 - Seif Ally Iddi, mwanasiasa kutoka Tanzania
WaliofarikiEdit
- 155 - Polikarpo Mtakatifu, askofu mfiadini wa Smirna (Uturuki)
- 1447 - Papa Eugenio IV
- 1848 - John Quincy Adams, Rais wa Marekani (1825-1829)
- 1934 - Edward Elgar, mtunzi wa muziki kutoka Uingereza
- 1973 - Dickinson Richards, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1956
SikukuuEdit
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Polikarpo, Sireno wa Sirmio, Milburga, Wiligisi, Yohane Mvunaji, Judita Vannini n.k.
Viungo vya njeEdit
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 23 Februari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |