Chuo Kikuu cha Bordeaux I
Chuo Kikuu cha Bordeaux I (Université Bordeaux I Bordeaux I) ni chuo maarufu nchini Ufaransa kilichopo kwenye mji wa Bordeaux[1]. Bordeaux I ina idara 10. Mkazo wake ni utafiti wa sayansi na teknolojia[2].
Marejeo
hariri- ↑ (Kifaransa)Université Bordeaux I
- ↑ (Kifaransa)LES UNIVERSITÉS DE BORDEAUX AU XXÈME SIÈCLE Ilihifadhiwa 21 Septemba 2013 kwenye Wayback Machine.
Viungo vya Nje
hariri- Université Bordeaux I Ilihifadhiwa 19 Agosti 2007 kwenye Wayback Machine. Tovuti rasmi ya Université Bordeaux I