Chuo Kikuu cha Cadi Ayyad

Chuo Kikuu nchini Moroko

Chuo Kikuu cha Cadi Ayyad ni chuo kikuu kilichopo huko Marrakesh, kimoja kati ya vyuo vikuu vikubwa nchini Moroko. Pia ni kimoja kati ya vyuo vinavyohusiana na École nationale des sciences appliquées de Marrakech, kilichoundwa mnamo mwaka 2000 na moja kati ya wizara ya elimu huko nchini Moroko kilichobobea katika maswala ya uhandisi na utafiti wa kisayansi.Chuo cha Cadi Ayyad kilizinduliwa mnamo mwaka 1978 na kilifanya kazi na taasisi kumi na tatu katika mkoa wa Marrakesh-Safi huko Moroko katika miji minne mashuhuri, ikiwa ni pamoja na Kalaa Sraghna, Essaouira na Safi, pamoja na mji wa Marrakesh.[1]

FB_1-1
Chuo kikuu cha Cadi Ayyad

Marejeo hariri

  1. The University. Cadi Ayyad University. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-11-03. Iliwekwa mnamo 2021-06-05.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Cadi Ayyad kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.