Chuo Kikuu cha Kumbukumbu cha Hubert Kairuki

Chuo Kikuu cha Kumbukumbu cha Hubert Kairuki ni chuo kikuu binafsi kilichopo katika jiji la Dar es Salaam, Tanzania.[1] Kinatambuliwa nchini Tanzania na kimethibitishwa na tume ya vyuo vikuu nchini Tanzania. Chuo Kikuu cha Kumbukumbu cha Hubert Kairuki kilianzishwa mwaka 1997, na kilikuwa chuo cha mwanzo binafsi kupatiwa uthibitisho mwezi Juni mwaka 2000.

Taaluma hariri

Chuo Kikuu cha Kumbukumbu cha Hubert Kairuki kinatoa shahada, stashahada na astahashada katika fani zifuatazo:

Shahada ya Kwanza hariri

  • Shahada ya Udaktari (Miaka 5)
  • Shahada ya Sayansi ya Uuguzi (Miaka 4)

Shahada za Uzamivu hariri

  • Shahada ya uzamivu ya afya ya watoto (Miaka 3)

Stashahada hariri

  • Stashahada ya Uuguzi (kwa wasioko kazini) - (Miaka 3)
  • Stashahada ya Uuguzi kwa walioko kazini - (inatolewa kwa njia ya mtandao)- (Miaka 2)

Astashahada hariri

  • Astashahada ya Uuguzi (Miaka 2)
  • Astashahada ya Ukunga (Miezi 6)

Marejeo hariri

  1. "Orodha ya Vyuo Vikuu" (PDF). Tanzania Commission for Universities. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 24 September 2015. Iliwekwa mnamo 15 July 2013.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)

Viungo vya nje hariri

Kigezo:Vyuo vikuu vya Tanzania

  Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Kumbukumbu cha Hubert Kairuki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.