Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Morogoro

Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Morogoro (kifupi: MUM) ni chuo kikuu cha binafsi cha Waislamu kinachopatikana Morogoro, Tanzania.[1]

Chuo hicho kilianzishwa rasmi mwaka 2004.[2] [3][4]

Chuo kikuu kina idara tano ambazo ni: 1. sanaa na ubinadamu; 2. Masomo ya Kiislamu; 3. sheria; 4. sayansi; 5. masomo ya biashara.

Chuo kikuu hicho kinatoa jumla ya programu nane (8) katika ngazi ya shahada ya kwanza.

Marejeo hariri

  1. "Wayback Machine". web.archive.org. 2015-09-24. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-09-24. Iliwekwa mnamo 2021-06-19. 
  2. "TANZANIA: FIRST MUSLIM UNIVERSITY INAUGURATED. - Info-Prod Research (Middle East) | HighBeam Research". web.archive.org. 2016-12-20. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-12-20. Iliwekwa mnamo 2021-06-19. 
  3. "ACU members". www.acu.ac.uk. Iliwekwa mnamo 2021-06-19. 
  4. "wanachama wa ACU Tanzania". www.acu.ac.uk/. Iliwekwa mnamo 15 February 2013.  Check date values in: |accessdate= (help)

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Morogoro kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.