Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Ghana

Chuo Kikuu cha Katoliki cha Ghana ni moja ya vyuo vikuu vya binafsi nchini Ghana. Iko Fiapre, Sunyani katika Mkoa wa Brong Ahafo. Kilianzishwa na Kanisa Katoliki kikakubaliwa na Bodi Kitaifa ya kikubali tarehe 4 Desemba 2002. [1] [2] Kundi la kwanza la wanafunzi lilianza tarehe 3 Machi 2003. [2] Uzinduzi rasmi wa chuo kikuu ulikuwa tarehe 13 november 2003. [3]

Nembo ya Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Ghana
Catholic University College of Ghana
Mahali{{{mji}}}
AffiliationsUniversity of Ghana, Boston College, Catholic University of America, Saint Mary’s University
Tovutiwww.fiuc.org/CUCG/

Mipangilio

hariri

Chuo kikuu kina vitivo vitatu.

Kitivo cha Uchumi na Uongozi wa Biashara

hariri

Kitivo hiki huendesha programu zinazopelekea tuzo ya daraja zifuatazo. [4]

Kitivo ya Habari na Sayansi ya Mawasiliano na Teknolojia

hariri

Kitivo hiki kina programu za miaka minne zinazopelekea kutuzwa kwa tuzo la B.Sc.in Computer Science. [5]

Kitivo cha Masomo ya Kidini

hariri
  • Kituo cha Masomo ya kuongeza faida
  • Kituo cha 'Applied Research, Consultancy and Community Outreach' - ili kukuza utafiti katika Chuo Kikuu na kuwa unganishi la ubunifu na wanajamii.

Mahusiano

hariri

Chuo kikuu ina mahusiano kadhaa na taasisi zingine za kielimu. [6]

Angalia Pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. "Accredited Institutions - University Colleges". National Accreditation Board. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-10-19. Iliwekwa mnamo 2007-03-15.
  2. 2.0 2.1 "The Pioneer Yearbook 2006 - The Senior Class of 2006" (PDF). Yearbook. Catholic University College of Ghana. 2006. uk. 8. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2007-07-09. Iliwekwa mnamo 2007-03-15.
  3. "The Pioneer Yearbook 2006 - The Senior Class of 2006" (PDF). Yearbook. Catholic University College of Ghana. 2006. uk. 5. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2007-07-09. Iliwekwa mnamo 2007-03-15.
  4. "Faculty of Economic and Business Administration Programme of Studies". Official Website. Catholic University of Ghana. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-07-01. Iliwekwa mnamo 2007-03-15.
  5. "Programme for B.Sc, Computer Science (CS)" (PDF). B.Sc. Computer Science Programme. Catholic University of Ghana. 2005. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (pdf) mnamo 2011-05-24. Iliwekwa mnamo 2007-03-15.
  6. "The Pioneer Yearbook 2006 - The Senior Class of 2006" (PDF). Year book. Cahtolic University of Ghana. 2006. uk. 34. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (pdf) mnamo 2007-07-09. Iliwekwa mnamo 2007-03-15.
  7. "About Us - Profile of the University". Official Website. University of Ghana. 2005. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-02-10. Iliwekwa mnamo 2007-03-15.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Ghana kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.