Orodha ya vyuo vikuu Ghana
(Elekezwa kutoka Orodha ya vyuo vikuu nchini Ghana)
Hii ni orodha ya vyuo vikuu nchini Ghana.
Vyuo Vya Umma
haririKuna Vyuo vikuu vya umma saba katika nchi ya Ghana lakini pia kuna taasisi nyingine zinazotoa shahada ya kwanza na stashahada. [1][2]
- Chuo Kikuu cha Ghana, Legon
- Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Kwame Nkrumah, Kumasi
- Chuo Kikuu cha Cape Coast, Cape Coast
- Chuo Kikuu cha Elimu, Winneba
- Chuo Kikuu cha Masomo ya Maendeleo, Tamale
- Chuo Kikuu cha Teknolojia na Maswala ya Migodi, Tarkwa
- Chuo cha Mawasiliano ya Simucha Ghana, Accra
- Taasisi ya Usimamizi na Utawala wa Umma (GIMPA)
- Taasisi ya Lugha Ghana (GIL)
- Taasisi ya ya Masomo ya Biashara, Legon
- Taasis ya Uandishi wa Habari ya Ghana
- Taasisi ya Kitaifa ya Filamu na Televisheni, Accra
Vyuo vya binafsi
hariri- Taasisi ya Kitaifa ya Filamu na Televisheni, Accra
Vyuo vishirikishi, Vyuo vikuu vya binafsi
haririTaasisi ya Kitaifa ya Filamu na Televisheni, Accra
- Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Ghana, Fiapre, Sunyani
- Chuo Kishirikishi cha Huduma ya Kikrisyo, Kumasi[3]
- Chuo Kishirikishi cha Kiisilamu cha Ghana, East Legon[4]
- Chuo Kikuu cha Methodist Ghana, Dansoman, Accra [4]
- Chuo Kishirikishi cha Kipentekosti cha Ghana, Sowutuom, Accra [4]
- Chuo Kishirikishi cha Kipresbeteri *, Abetifi-Kwahu[3]
- Chuo Kishirikishi cha Kiafrika cha Mawasiliano, Accra [4]
- Chuo Kishirikishi cha Kimataifa cha Wisconsin, Accra [4](NB - Pia kimeshirikishwa na Chuo Kikuu cha Cape Coast)
Vyuo Vishirikishi vya Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Kwame Nkrumah [3]
- Chuo Kishirikishi cha Sayansi na Teknolojia cha Regent, Accra[3]
- Chuo Kikuu cha Mataifa Yote, Koforidua [3]
Vyuo Vishirikishi vya Chuo kikuu cha Cape Coast
- Chuo Kishirikishi cha Ashesi, Labone, Accra [3]
- Chuo Kishirikishi cha Kibaptisti *, Abuakwa, Kumasi [3]
- Chuo Kishirikishi cha Central, Mataheko, Accra[3]
- Chuo Kishirikishi kikuu cha EP, Ho [5]
- Chuo Kishirikishi cha Garden City*, Kumasi [3]
- Chuo Kishirikishi cha Maranatha, Accra
- Chuo Kishirikishi cha Meridian (Insaaniyya)*[3]
- Chuo Kishirikishi cha Kikistro cha Pan African
Taasisi ya Teknolojia na Sayansi ya Karunya: Taasisi Zilizoshirikishwa kutoka India
- Chuo cha mataifa Yote, Koforidua [3]
- Chuo cha Kikistro cha Ghana
* Vyuo Vingine ambapo Majadiliano Yanaendelea
- Chuo Kishirikishi cha Teknolojia cha Kiagrikana, Accra[6][7]
- Chuo Kishirikishi cha Data Link, Tema
- Chuo Kishirikishi cha Mawasiliano ya Simu cha Ghana, Tesano, Accra[1]
- Chuo Kishirikishi cha Knutsford, East Legon, Accra.
- Taasisi ya Premier ya Utekelezaji, Usimamizi na Utawala wa Kisheria[8]
- Chuo Kishirikishi cha Masomo ya Usimamizi cha Accra na Kumasi
Asili
hariri- Halmashauri ya kitaifa ya kuidhinisha Vyuo Vikuu-Ghana Archived 19 Oktoba 2007 at the Wayback Machine.
- Halmashauri ya kitaifa ya kuidhinisha Vyuo Vishirikishi-Ghana Archived 19 Oktoba 2007 at the Wayback Machine.
Marejeo
hariri- ↑ 1.0 1.1 Kwabena Dei Ofori-Attah. "Expansion of Higher Education in Ghana: Moving Beyond Tradition". Comparative & International Education Newsletter : Number 142. CIES, Florida International University. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2006-10-04. Iliwekwa mnamo 2007-03-09.
- ↑ "Ghana's Education System". Ghana Government. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-01-27. Iliwekwa mnamo 2007-03-06.
- ↑ 3.00 3.01 3.02 3.03 3.04 3.05 3.06 3.07 3.08 3.09 3.10 "Accredited Institutions - University Colleges". National Accreditation Board. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-10-19. Iliwekwa mnamo 2007-03-06.
- ↑ 4.0 4.1 4.2 4.3 4.4 "University of Ghana-Profile of the University-Institutional Affiliations". University of Ghana. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-02-10. Iliwekwa mnamo 2007-03-06.
- ↑ "EP University gets accreditation", Education news. Retrieved on 2008-08-01. Archived from the original on 2008-05-02.
- ↑ "Anglican University College of Technology". Official website. Anglican University College of Technology. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-02-24. Iliwekwa mnamo 2008-08-07.
- ↑ "Anglican University College of Technology launched", General News of Tuesday, 5 Agosti 2008, Ghana Home Page. Retrieved on 2008-08-07.
- ↑ "Ghana Inaugurates Governing Council of First Criminal Justice University". Xignite. 14 Februari 2007. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-10-29. Iliwekwa mnamo 2007-04-16.
Viungo vya nje
hariri- Webometrics Ranking of World Universities (Universitites nchini Ghana) - Januari 2007 Archived 5 Machi 2009 at the Wayback Machine.
- Vyuo vikuu nchini Ghana kwa NI Daniels
- Ghana Government: Shule na Vyuo vikuu Archived 23 Mei 2007 at the Wayback Machine.
- Wizara ya Elimu, Sayansi na Michezo, Ghana Archived 27 Septemba 2007 at the Wayback Machine.
- Ghanaweb.com: Vyuo vikuu