Chuo Kikuu cha Kumbukumbu cha Hubert Kairuki
Chuo Kikuu cha Kumbukumbu cha Hubert Kairuki ni chuo kikuu binafsi kilichopo katika jiji la Dar es Salaam, Tanzania.[1] Kinatambuliwa nchini Tanzania na kimethibitishwa na tume ya vyuo vikuu nchini Tanzania. Chuo Kikuu cha Kumbukumbu cha Hubert Kairuki kilianzishwa mwaka 1997, na kilikuwa chuo cha mwanzo binafsi kupatiwa uthibitisho mwezi Juni mwaka 2000.
Taaluma
haririChuo Kikuu cha Kumbukumbu cha Hubert Kairuki kinatoa shahada, stashahada na astahashada katika fani zifuatazo:
Shahada ya Kwanza
hariri- Shahada ya Udaktari (Miaka 5)
- Shahada ya Sayansi ya Uuguzi (Miaka 4)
Shahada za Uzamivu
hariri- Shahada ya uzamivu ya afya ya watoto (Miaka 3)
Stashahada
hariri- Stashahada ya Uuguzi (kwa wasioko kazini) - (Miaka 3)
- Stashahada ya Uuguzi kwa walioko kazini - (inatolewa kwa njia ya mtandao)- (Miaka 2)
Astashahada
hariri- Astashahada ya Uuguzi (Miaka 2)
- Astashahada ya Ukunga (Miezi 6)
Marejeo
hariri- ↑ "Orodha ya Vyuo Vikuu" (PDF). Tanzania Commission for Universities. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 24 Septemba 2015. Iliwekwa mnamo 15 Julai 2013.
{{cite web}}
: More than one of|archivedate=
na|archive-date=
specified (help); More than one of|archiveurl=
na|archive-url=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Kumbukumbu cha Hubert Kairuki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |