Chuo Kikuu cha Methodist Ghana
Chuo Kikuu cha Methodist Ghana ni moja ya vyuo binafsi nchini Ghana. Kiko Mjini Accra iliyoko eneo kubwa la Accra. Ilianzishwa Oktoba 2000 na Kanisa la Methodist la Ghana baada ya kupewa ruhusa na bodi ya 'National Accreditation Board' mwezi Agosti 2000. [1] [2] Kazi ya Masomo ilianza mwezi Novemba 2000 katika kampasi ya 'Wesley Grammar School'
Chuo Kikuu cha Methodist Ghana | |
---|---|
Principal | Very Rev. Prof. S.K. Agyepong |
Wanafunzi | 1887 |
Mahali | Accra, Greater Accra Region, Ghana 5°33′58″N 0°15′41″W / 5.56611°N 0.26139°W |
mucg2001@yahoo.com | |
Affiliations | University of Ghana |
Tovuti | www.mucg.edu.gh |
Mpangilio
haririChuo kikuu kina vitivo vinne. Kila moja kina vitengo mbalimbali ambavyo huwa na vyongozi kibinafsi. [3][4]
Kitovu cha Maongozi ya Biashara
hariri- Kitengo cha Uhasibu
- Kitengo cha Benki na Fedha
- Kitengo cha Maongozi na Maendeleo ya wafanyikazi
- Kitengo cha Uuzaji
Kitivo cha Masomo yasiyo bainifu
hariri- Kitengo cha Kiingereza
- Kitengo cha Kifaransa
- Kitengo cha Dini
Kitivo cha Masomo ya Ujamaa
hariri- Kitengo cha Uchumi
- Kitengo cha Ujuzi na Teknologia
- Kitengo cha Hesabu na Takwimu
- Kitengo cha Saikologia
Kitivo cha Kilimo
haririHiki kiko katika kampasi iliyo Wenchi. [3]
Makampasi
haririKuna kampasi tatu.
- Dansoman Campus - Hii ni kampasi kuu ya chuo na kiko katika kitongoji kilicho Accra.
- Tema Campus - Kampusi ya mbali iliyoko katika majengo ya shule ya upili ya Tema Methodis Day.
- Wenchi Campus - Masomo ya cheti ya 'Agrobusiness', 'Agroprocessing' na 'Horticulture' hufanyiwa hapa.
Mahusiano
haririChuo huki kimehusiana rasmi na Chuo Kikuu cha Ghana tangu Oktoba 2002. [1] [2] [5]
Angalia Pia
haririVidokezo
hariri- ↑ 1.0 1.1 Hitilafu ya kutaja: Invalid
<ref>
tag; no text was provided for refs namedabout
- ↑ 2.0 2.1 "Accredited Institutions - University Colleges". National Accreditation Board. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-10-19. Iliwekwa mnamo 2007-03-06.
- ↑ 3.0 3.1 Hitilafu ya kutaja: Invalid
<ref>
tag; no text was provided for refs namedmcg
- ↑ "Faculties of MCUG". Official Website. Methodist University College Ghana. 2007. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-05-06. Iliwekwa mnamo 2007-03-15.
- ↑ "About Us - Profile of the University". Official Website. University of Ghana. 2005. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-02-10. Iliwekwa mnamo 2007-03-15.
Viungo vya nje
hariri- Bodi ya Taifa ya Accreditation Ilihifadhiwa 18 Aprili 2010 kwenye Wayback Machine.
- Methodist University College Ghana Ilihifadhiwa 12 Desemba 2009 kwenye Wayback Machine.
- Kanisa ya Methodist Ghana Archived 2013-01-13 at Archive.today