Chuo Kikuu cha Nouakchott Al Aasriya
Chuo kikuu cha Pubic huko Nouakchott, Mauritania
Chuo Kikuu cha Nouakchott Al Aasriya (Kifaransa: Université de Nouakchott Al Aasriya, Kiarabu: جامعة نواكشوط) ni chuo kikuu katika mji wa Nouakchott, mji mkuu wa Mauritania.
Historia
haririChuo kikuu cha Nouakchott Al Aasriya kiliundwa mwezi Julai 2016 kutokana na kuunganishwa kwa Chuo Kikuu cha Sayansi, Teknolojia na Tiba na Chuo Kikuu cha Nouakchott, ambacho kilianzishwa mwaka 1981 na kina zaidi ya wanafunzi 12,000.