Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya

Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya ni chuo kikuu cha umma kinachopatikana katika jiji la Mbeya, Tanzania.[1][2]

Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya zamani kilijulikana kama chuo cha ufundi Mbeya.

MarejeoEdit

Viungo vya njeEdit

Wavuti ya chuo

  Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Wikimedia Commons ina media kuhusu: